Letra de canción descargada de: https://www.albumcancionyletra.com ------------------------------------------ Miriam Makeba - Malaika ------------------------------------------ Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Ningekuoa mali we, ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika Pesa zasumbua roho yangu Pesa zasumbua roho yangu Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Kidege, hukuwaza kidege Kidege, hukuwaza kidege Ningekuoa mali we, ningekuoa dada Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Ningekuoa mali we, ngekuoa dada Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika