Letra Sina Mali Sina Deni (Free) de Khadja Nin

Etiquetas:
Letra de canción
Suajili
Enviar a un amigo |

Otras canciones de Khadja Nin

Song Scroller

Visitar letra | Letras de canciones
 
Color de fondo


Color de la letra

Copia este código y pégalo en tu blog o web para mostrar el song-scroller de Album Cancion y Letra

Califica la calidad de esta letra
Espere un momento...
Puntaje: 5,00/5. Total votos: 1


Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto


Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua


Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma

I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori


Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona


I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona

Tomado de AlbumCancionYLetra.com
Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni